Kampuni ya CPM Business consultants imeanzisha huduma ya kutoa mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati.
Utaratibu wa kujiunga na huduma ya mikopo;
Watu wanaoomba kujiunga huduma hii wanatakiwa kujiunga kwenye kikundi cha watu 5 ambao wanafahamiana na kuheshimiana, watachagua mwenyekiti. Wanatakiwa kuwa na shughuli ya kufanya mfano kila mwombaji awe ameajiriwa,awe wajasiriamali aliyejiajiri au mwanafunzi wa chuo, awe na kipato mfano mshahara, posho mauzo nk. Lengo la kuwa na kikundi ni kuwa na udhamini wakati wa kukopa.
Wanachama watajaza fomu ya maombi ya kujiunga na huduma hii na watalipia sh. 10,000 kwa ajili ya fomu ya maombi, pia watalipia sh. 10,000 kwa ajili ya mafunzo ya ujasiriamali na mikopo. Kila mteja atalipa pesa za dhamana kulingana na kiwango cha mwisho cha mkopo atakaoomba katika kikundi kama ifuatavyo.
Wateja wa kawaida Basic customers sh. 100,000 x5 = Kiwango cha Mkopo hadish.500,000.00
Wateja wenye uwezo wa kati Gold customers sh. 200,000x5= kiwango cha mkopo hadi sh. 1000,000.00
Wateja wenye uwezo wa juu Diamond customers sh. 300,000.00x5= kiwango cha mkopo hadi sh. 1,500,000.00
TARATIBU ZA MIKOPO
Mteja yeyote atakayetaka mkopo atatuma maombi kwa njia ya simu, email,au kufika ofisini yeye mwenyewe (Wateja wa Dar salaam).Kabla ya kuleta maombi atatoa taarifa kwa Mwenyekiti wa kikundi kwamba anataka kukopa. Atajaza fomu ya maombi ya mkopo atatakiwa kulipa ada ya kuombea mkopo sh. 5,000.00 pesa hii inaweza kutumika katika kulipia gharama za simu M Pesa nk.
Mteja atapewa mkopo kiasi kisizoidi kiwango ambacho kikundi chake kimeombea mfano mwanachama wa kawaida hawezi kuomba zaidi y ash. 500,000. Mkopo utatozwa riba ya asilimia 10% na marejesho yatafanyika kwa kipindi kisichozidi miezi 3.
Mteja atatakiwa kulipa mkopo pamoja na riba kwa wakati. Mikopo yote itadhaminiwa na wanakikundi.
Mteja akishindwa kulipa mkopo Mwentyekiti wa kikundi atapewa taarifa na kuhimizwa amfuatilie ili aweze kulipa mkopo wake. Kama ikishindikana Mwenyekiti itabidi ahamasishe wanakikundi kumlipia mkopo wake. Kama wanakikundi watazembea kuhakikisha deni linalipwa Dhamana za kikundi zitachukuliwa kufidia deni na uanachama wa kikundi utakoma.
Kwa maelezo zaidi au kujiunga na huduma hii piga simu namba 0784394701
CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI
CPM BUSINESS CONSULTANTS.
-- Utaratibu wa kujiunga na huduma ya mikopo;

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments