[wanabidii] Radio Deutsche Welle Yamuhoji Ras Makunja Kuhusu mafanikio ya muziki wa kiafrika Ulaya

Thursday, April 02, 2015

RADIO DW-BONN YAMUHOJI KAMANDA RAS MAKUNJA,AZUNGUMUZIA MAFANIKIO NA CHANGA MOTO ZA MUZIKI WA KIAFRIKA BARANI ULAYA



Bonn,
Asubuhi na mapema tu Radio Deutch Welle Idhaa ya Kiswahili inayorusha matangazo yake mjini
Bonn,ujerumani, alimwamkia mwanamuziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja kiongozi wa bendi maarufu ya dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni.katika mahojiano
na mtangazaji mahiri Bi.Swaumu Mwasimba wa radio DW na kipindi cha muziki na utamaduni
Kamanda Ras Makunja anazungumzia mafanikio na changamoto za muziki wa kiafrika barani ulaya.pia amezungumizia jinsi muziki wa kiswahili unavyokubalika barani ulaya.usikose ksikiliza mahojiano hayo katika tuvoti za radio DW-Kiswahili
http://www.dw.de/idhaa-ya-kiswahili/habari-za-ulimwengu/s-11590

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments