[wanabidii] Wito wa Makala/ Call For Papers (Kiswahili Journal, Kioo cha Lugha and Mulika)

Monday, March 09, 2015
Wapendwa Waungwana

Hapa nimeambatisha maelezo yanayotoa mwito wa Makala.
Tafadhali tumeni makala zenu kwa wahariri ambao wameorodheshwa.
Unaweza kutuma Makala katika lugha ya Kiswahili, Kiingereza au Kifaransa kwa mujibu wa maelezo ya Jarida husika.

Hatua kwa hatua, majarida yetu sasa yanapatikana katika tovuti ya Majarida ya Kiafrika Mkondoni (African Journals Online - AJOL). Utaratibu wa kuingiza Majuzuu ya sasa na yale yaliyopita unaendelea.

Karibuni.

Aldin
 
Prof. Aldin K. Mutembei   (PhD)                        
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili                 
Kampasi ya Mwalimu J.K. Nyerere            
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam                  
+255 715 426 162+255 715 426 162      [Kiganjani]                +255 715 426 162

b-pepe: kaimutembei@gmail.com    
            Alternative e-mail: <kaimutembei@gmail.com>

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments