Vyumba vinapangihwa,nyumba na kiwanja vinauzwa. Kama wewe ni mtu unayehitaji vyumba vya kupanga au mnunuzi tuwasiliane. Vyumba, nyumba, kiwanja, bei zake na mahali zilipo ni kama ifuatavyo;
Vyumba vya kupangisha ni; chumba na sebule jiko, choo na bafu viko Ubungo National Housing kodi kwa mwezi ni sh. 250,000. Nyumba ya vyumba 3 kimoja ni self contained ina tiles, gypsum,ina maji na umeme iko Kigogo Mkwajuni. Nyumba hii inauzwa kwa bei ya Sh. milioni 130. Kiwanja kilichopimwa kinauzwa, kina ukubwa wa mita za mraba 1400 kiko Mwongozo Kigamboni Bei yake ni sh. milioni 35. Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments