[wanabidii] Uchambuzi wa ushahidi katika kesi za rushwa na udanganyifu

Monday, March 09, 2015
Wakuu
Kwa kuzingatia umuhimu wa kazi ha kuelimisha na kutaarifu umma,Napenda kuwataarifu kuwa kesho tarehe. 9 Machi 2015 Mawakili wa serikali,Mahakimu na Wapelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam watashiriki mafunzo kuhusu Namna ya kufanya uchambuzi wa ushahidi( evidence analysis) katika kesi za rushwa na udanganyifu
Mafunzo yanaratibiwa na ubalozi wa Uingereza na yatafunguliwa saa 3 asubuhi na Balozi wa uingereza Nchini.
Karibuni Tuwe sote katika mafunzo haya ya kujenga uwezo ktk mashauri ya rushwa na udanganyifu
Natanguliza shukrani

Asiatu Msuya
Afisa Mawasiliano
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali

0755 18 40 76



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments