KATIBU WA CDM KANDA YA KASKAZINI, AMANI GOLIGWA ARUDI CCM.
Katibu Wa Chadema Kanda ya Kaskazini na mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa ya Chadema na Mwenyekiti wa CDM wilaya ya Monduli Bwana Amani Ole Silange Golingwa amekihama chama hiko na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mchana huu.
Amani amechukua uamuzi huo leo mchana katika mkutano wa hadhara aliohutubia Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndugu Abdulrahaman Kinana na Katibu wa Uenezi wa CCM Ndg Nape Nnauye eneo la Kijiji cha SINGISI Kata ya SEELA, Jimbo la Arumeru Mashariki linaloongozwa na Mbunge wa Chadema Mhe. JOSHUA NASSAR.
Akiungana na Goligwa, Nelson Kitomai- kamanda wa M4C kanda ya Kaskazini nae amerudi CCM baada ya Mkutano huo wa hadhara SINGISI, Jimbo la Arumeru Mashariki, Mkoani Arusha.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments