[wanabidii] Wanabidii Group Suggestions

Thursday, February 05, 2015
Ndugu wanabidii,

We need to change our direction. Hii group imekuwa open sana and inapoteza maana. I believe idea ilikuwa ni kuwakutanisha wanabidii, wasomi na watu wanaoweza kutoa mawazo yao ya kulipeleka mbele taifa letu, kudiscuss issues openly and respectfully na kutafuta solution ya matatizo ya taifa letu ambayo ni mengi mno.

Kwa sasa kuna watu wengi sana kwenye group ambao hawana hizo qualifications. I think tunatakiwa kujiunga upya tena kwenye hii group kwa ku apply na isiwe kila mtu anaweza kujiunga. Nashauri pia kuwepo na system ya kuondoa watu ambao wako kwenye group kisiasa, kibiashara na kivyama zaidi na sio maendeleo ya nchi kwa jumla.

I believe hii group sio ya Chadema wala CCM. I believe this is where intelligent ideas zinaweza kutokea na we can discuss maendeleo na nini kifanyike kusukuma watu mbele zaidi ya kuwa forced kusoma articles ambazo hazina quality wala anything productive in it. 

The way we are going now we are loosing credibility na quality kwenye hii group na pia tutapoteza watu wa maana ambao tungependa kuwasoma na kupata ideas zao. Hii sio group ya kufanya promotion ama matangazo ya kibiashara, hii sio group ya kutukana wanasiasa bali kurekebisha na kusema ukweli pale inapotakikana kusema ukweli. Hii sio group ya kufanya kampeni za siasa ama vyama. Hapa ni sehemu ya good information, discussions, new ideas na mawazo endelevu,  

Kuwa na title kama vile journalist, economist, professor etc haikufanyi wewe kuwa mwanabidii. Tuna hawa watu humu na baadhi yao ni watu wasioweza kutufikisha popote. This is why nasema tuweke utaratibu maalum wa watu kujiunga tena na hii group.  Haya ni mawazo yangu tu na inawezekana niko wrong. Mnaweza kunisahihisha. 

Regards,

Omar Kaseko
Kali TV Founder/Producer
http://www.kalitv.com
240-374-2192

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments