[wanabidii] Nafasi za kazi wa UTT

Friday, February 06, 2015
Wapendwa fursa ndio hizi sasa, watanzania naomba niwahamasishe sana wakuuu changamkieni fursa hizi tunazowaleta humu si kila siku malumbano tuuuu tunaponasa fursa pia tunawashtua. pale UTT sukari house jijini nafasi za kazi kama kumi hivi zimetengwa kwa ajili ya watanzania hasa wanabidii na ndg na marafiki zetu unapooona nafasi hii mpasie mwenye ndg au rafiki asie na kazz ila mwenye uzoefu au anaetaka kuboresha maslahi zaidi
soma hii attachement na fuata maelekezo yaliotolewa tafadhali
usinipigie simu fuata maelekezo


mollel

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments