> From: Astronaut Bagile <arutenge@yahoo.com>
> Subject: Fw: Kuomba kutoa Elimu ya Uraia Kura ya Maoni
> To: "elinshau@yahoo.com" <elinshau@yahoo.com>, "Hildegard Kiwasila" <khildegarda@yahoo.co.uk>
> Date: Friday, 6 February, 2015, 0:36
>
> ----- Forwarded Message -----
> From: WISE WISE
> <instigatingsocialentrepreneur@yahoo.com>
> To:
> "arutenge@yahoo.com" <arutenge@yahoo.com>
> Sent: Friday,
> 6 February 2015, 0:28
> Subject: Fw:
> Kuomba kutoa Elimu ya Uraia Kura ya Maoni
>
>
>
> On Friday, February
> 6, 2015 12:12 AM, "n.tepani@tango.or.tz"
> <n.tepani@tango.or.tz> wrote:
>
>
> Kwa
> wanachama wote na wadau wa TANGO:
>
> Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Tume ya Uchaguzi ya
> Zanzibar (ZEC)
> zimetoa tangazo lililoambatanishwa hapa kuwa AzaKi
> zinazotaraji kutoa
> elimu ya uraia kwa Katiba Inayopendekezwa zitume maombi
> kabla ya tarehe 10
> Februari 2015.
>
>
> TANGO kama shirika mwavuli linakusihi kulisoma vizuri
> tangazo hilo na
> kuzingatia muda na yaliyomo kwenye tangazo, maombi yatumwe
> kwa anuani
> zilizoainishwa na sio kwetu TANGO. Pia sambaza taarifa hii
> kwa kadiri
> iwezekanavyo.
>
> Pamoja na tangazo hili tumeambatanisha nakala za Katiba
> Inayopendekezwa na
> Rasimu ya Katiba (iliyotolewa na Tume ya Maoni) kwa rejea.
>
> Tafadhali kiri kupokea na tuarifu endapo unahitaji rejea
> zingine.
>
> Wako katika ujenzi wa taifa,
> ====================================
> Ngunga Tepani
> Executive Director - TANGO
> PO Box 31147, Dar es Salaam
> TANZANIA
> Tel: +255-22-277 4581
> Cell: +255-78-428 6507
> +255-71-600 4534
> www.tango.or.tz n.tepani@tango.or.tz
>
>
>
>
>
>
>
>
>
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments