[wanabidii] CHONDE CHONDE UKAWA : (PROF.LIPUMBA,MBOWE ,MBATIA &MAKAIDI.)

Monday, February 16, 2015

CHONDE CHONDE UKAWA :
(PROF.LIPUMBA,MBOWE ,MBATIA &MAKAIDI.)

ILI UCHAGUZI MKUU UWAENDEE VIZURI MFANYE YA FUATAYO 
1.MHAKIKISHE WAKURUNGEZI WA HALMASHAURI NA WATENDAJI KATA HAWAWI SEHEMU YA TUME YA UCHAGUZI
2.KWENYE DAFTARI LA KUDUMU WASIPUNGUE WAPIGA KURA 18,000,000.
3.BAADA YA KILA CHAMA KUTEUA MGOMBEA URAIS APELEKWE KWA WANACHAMA WA UKAWA WAPIGIWE KURA YA MAONI KWENYE MAKAO MAKUU YA MIKOA PAWE NAVITUO 10KILA MKOA NA WANACHAMA WA UKAWA WATUMIE KADI ZA VYAMA VYAO KAMA KITAMBULISHO NA VIWE VIMETOLEWA CHINI YA TAREH 01/01/2015.HII NI KUWEKA KUWA MGOMBEA NI WA WAPIGA KURA NA SI VIONGOZI.
4.TAR 30/04/2015 IWE SIKU YA KUPIGIWA KURA MGOMBEA URAIS UKAWA WAKATI CCM WANA PIGIA KATIBA YA VIJISENTI SISI TUNA KURA YETU.
5.CCM WANA WANA CHAMA TAKRIBANI MIL .5 NCHI ZIMA UKAWA MUWE NA MIKAKATI YA UHAKIKA KUWA OCT.MTAVUNA KURA ZISIZOPUNGUA MIL 10.KWANI HAKUNA UCHAGUZI AMBAYO RAIS ALISHA VUKA KULA MIL.6.
NAOMBA KUWASILISHA

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments