[wanabidii] WANAOONGOZA KUNUNUA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

Friday, January 09, 2015
Jana nilikuwa naongea na rafiki yangu ambae anauza madawa pharmace, akaniambia kuwa watu wanaoongoza kwa kununua dawa za kuongeza nguvu za kiume (Viagra) ni vijana wadogo wenye miaka 20 mpaka 27. Wanunuzi wengi ni vijana kuliko wazee... Vijana wa mujini huwa hawali vyakula vya kujenga mwili na vinavyoongeza protein mwilini. Utakuta mtu asubuhi anakunywa chai na slice mbili au tatu za mkate, mchana anakula chips, usiku anakula tena chips, kesho yake anakula hivyo hivyo tena, hizo nguvu za kiume utazipata wapi?? Unakuta mwanaume hali chakula cha kujenga mwili, hali matunda, hafanyi mazoezi, kutwa anashindia chips mayai, hizo nguvu za kiume atazipata wapi?? Mnaishia kula machips kila siku matokeo yake mkipewa "nyuchi" na demu mnaishia kupiga bao moja basi. Mnaishia kupiga kigoli moko matokeo yake mademu wanawaita vikuku...mama maeeee...Kumpiga demu kigoli kimoko na kumwacha huko ni kumchafua, kama hicho kigoli chako kilikuwa kinakuwasha basi si bora ungeenda dukani kwa mangi ukanunua sabuni ukapiga puchu kuliko kumtoa mtoto wa watu nyumbani kwao halafu ukaishia kumpiga bao moja. Kuna ambao mnakunywa supu ya pweza, wengine karanga mbichi, wengine asali na mdalasini, wengine mnakunywa madawa ya mitishamba ya kimasai ili muweze kuwarizisha mademu zenu, kuna faida gani ya kunywa hayo madawa wakati mwili wenyewe haupati mlo kamili??? Dume zima unaishia kula machips kila siku kwani nyie mmekuwa mademu???? ‪#‎Pumbavu‬.. Nyie endelee kula chips, mkiingia kwenye ndoa lazima watu watawatombea wake zenu...

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

1 Comments
avatar

Je, wewe ni matatizo ya kifedha au unahitaji fedha haraka ya kulipa bili yako? Na unataka kuchukua hatari ya kubadilisha maisha yako mwenyewe. Jaribu na kupata ATM tupu kadi yako leo na kuwa miongoni mwa bahati ya mtu ambaye ni kunufaika na kadi hii. Kadi hii ATM ni kuweka uwezo wa Hacking katika mashine yoyote ATM popote duniani. Nina kujua kuhusu kadi hii tupu ATM wakati mimi nilikuwa kutafuta kazi online kama mwezi mmoja uliopita. Ni kweli iliyopita maisha yangu milele na sasa siwezi kusema mimi nina tajiri kwa sababu mimi ni ushahidi hai. fedha kidogo mimi kupata katika siku na kadi hii ni $ 3,000. Hata sasa na kisha kuweka kusukumia fedha katika akaunti yangu. Ingawa kadi ni kinyume cha sheria lakini hakuna hatari ya kuwa hawakupata. Ni iliyowekwa katika namna ambayo haiwezi kupatikana na pia ina mbinu ambayo inafanya kuwa vigumu kwa CCTV kamera ya kuchunguza wewe wakati wa kutumia hiyo. Kwa maelezo juu ya jinsi ya kupata yako leo mawasiliano speedhackersnetwork001@gmail.com

REPLY
:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv