UDHAIFU WA HOJA YA WANAODHANI KAMATI KUU KUPITIA KAMATI YA MAADILI INAWEZA KUMKATA JINA LOWASSA T2015ENL
Kwa Kipindi Cha Week Moja Sasa Kumekuwa Na Minung'uniko Ya Washindani Wa Lowassa Kusambaza habari Za Uongo Za Kudai Ya Kwamba Lowassa Anakwenda Kufukuzwa Ndani Ya Chama Na Atakatwa Jina Akigombea..... Udhaifu Wa Hoja Hii
MOSI Haitoi Sababu Kwanini Lowassa Atakatwa Jina Akigombea, Na Kwani Afukuzwe Ndani Ya CCCM...
Hakuna Tuhuma Za Moja Kwa Moja Zilizothibitika Zikaipa Sababu Kamati Kukuu Kufikia Maamuzi Ya Kumkata Jina Au Kumfukuza Uananchama Lowassa
PILI Msingi Wa Hoja Hii Vyanzo Vyake Ni Dhaifu, Anayesambaza Msg Ya Uzushi Eti Lowassa Kukatwa Jina Na Kufukuzwa Uanachama Kwa Tuhuma Hewa Ni Mwana Habari Mfuasi Wa Chadema Ndugu Saidi Kubenea, Ikumbukwe Tuu Kubenea Ni Adui Mkubwa Wa Siasa Za Kidemocrasia Zenye Mlengo Wa Kumkomboa Mtanzania Wa Kawaida, Historia Inaonyesha Saidi Kubenea Ni Mvurugaji Mzuri Sana Wa Mambo Katika Vyama Vya siasa
Kwa Sasa Kubenea Amevuka Mipaka Amekuja Kuifundisha CCM Taratibu Za Kumpata Mgombea...., Mambo Ya Kujiuliza (1.) Kubenea Anapata Wapi Taarifa Za Ndani Za Secretariet Ya CCM....? (2.) Kubenea Ameaanza Lini Uchungu Na CCM kiasi Cha Kuisaidia CCM Kutangaza Na Kuisambazia Msg Ya Kukatwa Jina Lowassa Na Kufukuzwa Kwake Ndani ya Chama....!?
RAI KWA WANA CCM ni vyema Kuchunguza Taarifa Wanazozipata Zinatokana na Vyanzo Gani Kabla Ya Kuzisambaza Hii Ni Kwa Afya Ya CCM Kuelekea May 5.
TATU Hoja Hii Dhaifu Imekuwa Ikijengwa Na Watu Walewale Dhaifu Wanaojiita Washindani Wa Lowassa Kuelekea Uchaguzi Mkuu......
Kinachofanywa Na Wapinzani Wa Lowassa Kambi Zote Za Uraisi Sasa Wanaungana Na Kutengeneza Allience Ya Kupambana Na Lowassa Katika Kinyang'anyiro Cha Kugombea Uraisi May5 Umoja Ambao Umekuwa Ukinadiwa Kwamba Ndio Dawa Ya Kumuondoa Lowasaa Unajulikana Katika Ufupisho Wa PCM + M(HK + LN) = Pombe,Camilius,Mizengo ongeza Mwigulu Kwenye Mabano Weka kigwangala ongeza Na Nyarandu Dhidi Ya Lowassa......
Kazi Kubwa Inayofanywa Na Umoja Huu Ni Kuhakikisha Wanatengeneza Mazingira Lowassa Anaenguliwa Na Asiwe Mgombea Kupitia CCM Kwa Maana Hazuiliki Katika Mchakato Halali Wa Kidemocrasia Ndani Ya Chama......
Hawa Kwa Sasa Wanafanya Kazi Kubwa Kuendeleza Yale Yaliokwisha Anzwa Na Allience Ya Mwanzo Ya PSM + M = Pombe, Sita Na Mwakyembe Ongeza Membe Hawa Ndio Waasisi Wa Tuhuma Hewa Walizomtengenezea Lowassa Za Rushwa Na Ufisadi Kupitia Saga La Richimond Baada Ya Kuona Walishindwa Kupitia Richmond wakatafuta Huruma Kwa Kamati Kuu Ili Lowassa Afungiwe Kwa Muda Huo.....
Tatizo Ameshinda Majaribu Yote Akiwa Katika Uangalizi Wa Kamati Ya Maadili Sasa Wanatengeneza Habari Za Uongo Kukatwa Jina Kupitia Allience Mpya
NNE gazeti linalorudia Rudia Hoja Ya Rushwa Na Ufisadi Raia Tanzania Ni Chombo Kinachotumika Na Mtandao Huu Wa Wagombea Walioshindwa Kujijengea Imaan Ndani Ya CCM Na Kuamua Kumchafua Aliye Aminika Na Wana CCM,
Hoja Nyingi Zinazoandikwa Ndani Ya Raiya Tanzania Za Kufyekwa Jina Lowassa Ni Za Kimtandao Unaohitaji Huruma Kwa Kamati Kuu Ili Kuendelea Ku Exist Generaly Ulimwengu Na Gazeti Lake Ni Sawa Na Mbuzi Juu Ya Mti.... Jiulize Amefikaje Kama Hajapandishwa.....! Na Ukitaka Kumjua Mwenye Mbuzi Mshushe Mbuzi Juu Ya Mti Kwa Mawe
Tayari Raia Tanzania Walishakosa Moral Authority Kuzungumzia Mchakato Wa Kumpata Mgombea Maana Tayari Wao Wana Watu Wanaowatumia Katika Kumchafua Lowassa
Msingi Wa Ukatwaji Jina Unaotumika Na Wapinzani Wa Lowassa Ni Dhaifu Haswa Ukiangalia Umahiri Wa Viongozi Wetu Weledi Na Wafahamu Wa Mambo Katika Siasa Za Tanzania Sidhani Kama Kuna Jambo Kama Hilo Na Sidhani Kama Kuna Mjumbe Wa Kamati Kuu Wa Kushikiwa Akili Kiasi Cha Kushawishika Kumkata Jina Lowassa,
Watanzania Wanapaswa Kufahamu Swala La Kukatwa jina Lowassa Ni La Kimkakati Halina Ukweli Na Swala La Lowassa Kuhama Chama Au Kufukuzwa Halipo Pia, Raisi Wa Tanzania Awamu Ya Tano Atatoka Ndani Ya CCM Na May5 Ni Muda Wa Maamuzi Na Matumaini Mapya
Bahati Mbaya Tanzania Nzima Na CCM yote Imefahamu Mbinu Dhaifu Ya Uongo na Uzushi Ya Kukatwa Jina Inayotumiwa na Washindani Wa Lowassa Kuwa Si Kweli Na Haina Mashiko
Hesabu Zimekataa
PCMM(HK+LN) - ENL = T2015ENL
Kutoka
Mpiganaji Wa Ukombozi Wa Fikra
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments