SASA NAANZA KUVIONA DHAHIRI VITA VYA KIDINI TANZANIA..
Kakobe aongoza waumini wa KANISA lake kufanya KAMPENI Uchaguzi usifanyike JUMAPILI.
Fulana na mabango mbalimbali yamekwisha anza kubandikwa karibu kila kona ya nchi.
Wakati hayo yakitokea Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kislamu Sheikh Rajabu Katimba wiki iliyopita alitangaza kuwa Taasisi 38 kuanza kampeni nchi nzima kuwahamasisha waislamu wapige kura ya HAPANA kwenye Katiba pendekezwa.
Kwahoja kuwa Katiba hiyo haina mahakama ya KADHI na imeendeleza wimbi la kuwabaguwa waislamu kulinda mfumo KRISTO.
SWALI LANGU...
Ikiwa serikali itakubali uchaguzi usifanyike J'pili kwa kutii maombi ya waumini wa Kikristo.
Je na waislamu wakisema wanataka siku ya IJUMAA iwe siku ya mapumziko kama J'pili watakubaliwa......?
WITO
Serikali jiandaeni kwa KASHESHE safari hii jamii zote zimekwisha Elimika vya kutosha si wakristo wala waislamu wote wako vizuri kwa utambuzi wa haki zao tendeni haki kuwe salama.
-- Kakobe aongoza waumini wa KANISA lake kufanya KAMPENI Uchaguzi usifanyike JUMAPILI.
Fulana na mabango mbalimbali yamekwisha anza kubandikwa karibu kila kona ya nchi.
Wakati hayo yakitokea Katibu wa Jumuia na Taasisi za Kislamu Sheikh Rajabu Katimba wiki iliyopita alitangaza kuwa Taasisi 38 kuanza kampeni nchi nzima kuwahamasisha waislamu wapige kura ya HAPANA kwenye Katiba pendekezwa.
Kwahoja kuwa Katiba hiyo haina mahakama ya KADHI na imeendeleza wimbi la kuwabaguwa waislamu kulinda mfumo KRISTO.
SWALI LANGU...
Ikiwa serikali itakubali uchaguzi usifanyike J'pili kwa kutii maombi ya waumini wa Kikristo.
Je na waislamu wakisema wanataka siku ya IJUMAA iwe siku ya mapumziko kama J'pili watakubaliwa......?
WITO
Serikali jiandaeni kwa KASHESHE safari hii jamii zote zimekwisha Elimika vya kutosha si wakristo wala waislamu wote wako vizuri kwa utambuzi wa haki zao tendeni haki kuwe salama.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments