"Tangazo Tangazo,
Jamani hadi Mbunge anatelekeza familia? Haki ya mama na watoto iko wapi? Niko kituo cha polisi tumeshikiliwa na polisi. Yaani leo tumeingia kwenye kamati ya Bunge ya "Katiba na Sheria" kwa lengo la kumfuata huyu Mbunge aliefukuza familia yake tena ya mtoto mlemavu. Kwa hiyo nimekuja kuonana nae Mh Mbunge Abdala Sheria awaeleze Watanzania na dunia nzima kwamba anawezaje kuongoja jimbo kama Familia moja imemshinda?
Huyu mama nilienda jana huko alikojibanza baada ya kuniambia Mume wake ambae ni Mh Mbunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar kamfukuza mkewe pamoja na huyu mtoto mwenye ulemavu. Nilipofika kwa mama huyu nililia kwa uchungu baada ya kumuona huyu mtoto mwenye ulemavu. Yaani linipata uchungu sana. Huyu mama aliniambia Mh Mbunge alimuoa akiwa na miaka 15 tu, mpaka sasa wamezaa watoto watatu mmoja ni huyu mlemavu.
Kwa hiyo Mh Mbunge alipoona mkewe kazaa mtoto mwenye ulemavu kamtelekeza na amemfukuza nyumbani na akaamua kuoa mke mwingine. Kama Mbunge anafukuza mke kisa kazaa mtoto mlemavu, itakuwaje kwa watu wa jimbo lake? nimekasirishwa sana kwa kitendo hiki alichofanya Mbunge Kwa hiyo nikaja na hii familia yake huku kazini kwake kwenye ofisi za Bunge ili awaambie watanzania na watu wa jimbo lake ni kwanini anafanya unyama huu?
Sasa tumefika hapa tukaingia, ndo tumeitiwa polisi tumeshikiliwa na jeshi la polisi hapa kituo kidogo jirani na jengo la Mwalimu Nyerere posta.. Mh Mbunge yupo juu ya sheria?
Hata kama ameoa mke mwingine kwanini amfukuze mke na huyu mtoto mwenye ulemavu? HakiIKoWapi? Tunaomba Haki itendeke jamanii hata kama nitaenda jela kwa kupaza sauti ya huyu mtoto mlemavu na mama yake wacha nikae jela"
-- Jamani hadi Mbunge anatelekeza familia? Haki ya mama na watoto iko wapi? Niko kituo cha polisi tumeshikiliwa na polisi. Yaani leo tumeingia kwenye kamati ya Bunge ya "Katiba na Sheria" kwa lengo la kumfuata huyu Mbunge aliefukuza familia yake tena ya mtoto mlemavu. Kwa hiyo nimekuja kuonana nae Mh Mbunge Abdala Sheria awaeleze Watanzania na dunia nzima kwamba anawezaje kuongoja jimbo kama Familia moja imemshinda?
Huyu mama nilienda jana huko alikojibanza baada ya kuniambia Mume wake ambae ni Mh Mbunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar kamfukuza mkewe pamoja na huyu mtoto mwenye ulemavu. Nilipofika kwa mama huyu nililia kwa uchungu baada ya kumuona huyu mtoto mwenye ulemavu. Yaani linipata uchungu sana. Huyu mama aliniambia Mh Mbunge alimuoa akiwa na miaka 15 tu, mpaka sasa wamezaa watoto watatu mmoja ni huyu mlemavu.
Kwa hiyo Mh Mbunge alipoona mkewe kazaa mtoto mwenye ulemavu kamtelekeza na amemfukuza nyumbani na akaamua kuoa mke mwingine. Kama Mbunge anafukuza mke kisa kazaa mtoto mlemavu, itakuwaje kwa watu wa jimbo lake? nimekasirishwa sana kwa kitendo hiki alichofanya Mbunge Kwa hiyo nikaja na hii familia yake huku kazini kwake kwenye ofisi za Bunge ili awaambie watanzania na watu wa jimbo lake ni kwanini anafanya unyama huu?
Sasa tumefika hapa tukaingia, ndo tumeitiwa polisi tumeshikiliwa na jeshi la polisi hapa kituo kidogo jirani na jengo la Mwalimu Nyerere posta.. Mh Mbunge yupo juu ya sheria?
Hata kama ameoa mke mwingine kwanini amfukuze mke na huyu mtoto mwenye ulemavu? HakiIKoWapi? Tunaomba Haki itendeke jamanii hata kama nitaenda jela kwa kupaza sauti ya huyu mtoto mlemavu na mama yake wacha nikae jela"
JOYCE KIRIA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments