[wanabidii] MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWA VIKUNDI NA MTU MMOJA BILA MALIPO

Thursday, January 08, 2015
Wapendwa,
Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants tunaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa vikundi na mtu mmoja mmoja hapa Dar bila malipo yoyote. Kwa wale wa mikoani watalipia nauli chakula na malazi ya mwezeshaji. Muwezeshaji ni Charles Nazi Mshauri wa biashara na Mtunzi wa kitabu cha mbinu za biashara, toka kampuni ya CPM BUSINESS CONSULTANTS. Hakuna Gharama ya mafunzo ila washiriki wanaweza kuja na pesa za kununua vitabu kwa bei ya sh. 6000. Mada zitakazofundishwa ni kama ifuatavyo;
1. Namna ya kuanzisha biashara.
2. Namna ya kutafuta masoko na kutangaza biashara yako.
3. Namna ya kuweka kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
4. Fursa za biashara unazoweza kuzichukua na kuanzisha biashara endelevu
5. Maswali na majibu.
Kwa wale ambao watahitaji huduma hiyo wapige simu au watume ujumbe kwenye simu namba 0755394701
CHARLES NAZI
MSHAURI WA BIASHARA
http://mshauriwabiashara.weebly.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments