Baada ya PCCB kuanza kuwapeleka mahakamani watumishi wa umma kwa tuhuma za kupata mgawo wa pesa za ESCROW ni dhahiri sasa tuhuma hizo ni za rushwa. Na pia kosa la rushwa huwa ni kwa mtoaji na mpokeaji kwa nini sasa wanakamatwa wapokeaji tu bila mtoaji ambaye anajulika naye kukamatwa? je sheria ya rushwa imebadilika? Tujadili
Mwassa.
0 Comments