[wanabidii] SIPATI MESEJI

Tuesday, December 23, 2014
Comrades;
Sipati meseji kwa siku mbili sasa katika account yangu.
Je ni tatizo la kiufundi kwangu au hatujawa na michango kwa hizi siku?
Naomba msaada wenu tafadhali.
 
Reuben

Share this :

Related Posts

0 Comments