[wanabidii] Mafunzo ya ujasiriamali kwa makanisa ya Tanzania bila malipo

Tuesday, December 23, 2014


Taarifa kwa Maaskofu, Mapadri, Wachungaji na waumini wa makanisa yote Tanzania. Kampuni ya CPM Business Consultants, inayojishughulisha na kutoa mafunzo ya ujasiriamali na ushauri wa biashara, iko tayali kutoa mafunzo ya ujasiriamali kwa waumini wa makanisa ya Dar es salaam bila malipo yoyote, ila kwa makanisa ya mikoani yatachangia gharama ya usafiri na malazi kwa mwezeshaji. Katika semina hizo tutatoa fursa kwa washiriki kununua vitabu vya ujasiriamali ambavyo gharama yake ni sh. 5,000 kwa wale watakaohitaji.

Mada zitakazotolewa ni;
- Siri ya utajiri (Kwa nini watu wengine ni masikini na wengine ni matajiri)
- Namna ya kuanzisha biashara
- Namna ya kufanya utafiti wa soko na kutangaza biashara yako.
- Jinsi ya kutunza kumbu kumbu za hesabu za biashara yako.
- Fursa za biashara kulingana na mazingira yako.
- Maswali na majibu.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0784394701. Tafadhali mwambie na mwenzako, sambaza ujumbe huu kadiri inavyowezekana.

CHARLES NAZI
MKURUGENZI MTENDAJI CPM BUSINESS CONSULTANTS

https://cpmbusinessconsult.wordpress.com/

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments