KAULI YA ZITTO KABWE BAADA YA HOTUBA YA
RAIS KIKWETE" RAIS KIKWETE KAIZIKA RASMI CCM
2015.;; Nimemsikiliza Mhe Rais. Ninachoweza
kusema ni kwamba maazimio yale hayakuwa ya
Zitto Kabwe, PAC, CAG au PCCB. Yalikuwa ni
maamuzi ya Bunge zima. Bunge la vyama vyote
kikiwamo chama cha Rais Kikwete yaani CCM.
Sisi kama Bunge tulitoa maazimio yale kwa
maridhiano, uzalendo na bila kutaka kumuonea
mtu yeyote. Suala hili sasa naliacha kwa
wananchi. Bunge limefanya kazi yake na Serikali
ambayo ndiyo tulikuwa tunasubiri maamuzi yake
imeamua hivyo. Wananchi wataamua wenyewe.
-- RAIS KIKWETE" RAIS KIKWETE KAIZIKA RASMI CCM

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments