[Mabadiliko] Nokia UK Promo

Wednesday, December 03, 2014
Wakuu, leo saa 3.47 asubuhi nimetumiwa tex message kwenye simu kutoka naa hii ya namba +255784414915 inayosema: "NOKIA .IK PROMO. Your Mobile No Just Won  415,000GBP Ref No.: NK101 For Claims: Email your Name, NUmber& Age To nokia-uktlecom@live.com & Call +447937463661.
 
Mimi nadhani hawa ndio wale wale wa mambo yetu yale. Nataka kumsaka mwenye namba hii ya airtel iliyonitumia ujumbe


Phenomenology of Meaning: It is not what you say, but why do you say that

Share this :

Related Posts

0 Comments