Wanyambo wana usemi, "wafu huzidiana harufu".
Nampendekeza Dr. John Pombe Magufuli achukue Wizara hii.
Deo Filikunjombe achukue mikoba ya Dr. John Pombe Maguful.
Ni msaada wangu wa mawazo wa bure kabisa kwa Prof. J. M. Kikwete Rais wa JMT aliyechaguliwa n watu 5m kati ya 45m.
Sent from Samsung tablet
0 Comments