Hakuna atakebisha muungano huu serikali za mitaa umekuwa mwiba mkali kwa ccm. ili ukawa waende ikulu 2015. wafanye haya
--
-- 1: waunde muungano wenye jina moja tu.
2: waite wajumbe wa halmashauri kuu wa vyama vyote wakae pamoja kila chama kipendekeze jina la mgombea na wapige kura ili kupata mgombea wao mmoja wa uraisi.
3: waite wajumbe wa ngazi ya mkoa/wilaya wa vyama vyote kila chama kipendekeze mgombea mmoja wa ubunge na wagombea wapambane wapate mmoja anayekubalika zaidi. ili asimame kugombea ubunge kwa karata ya muungano. Kusiwe na walk over ili kusilete mgawanyiko na malalamiko
3: waite ngazi ya kata vyama vyote ndani ya muungano wapendekeze wagombea na wapigiwe kura na wajumbe wa kata. ataeibuka kidedea abebe bendera.
wataoshindwa kwenye uraisi bado wana nafasi ya kuwa mawaziri mkichukua nchi.
watakao shindwa ubunge bado wana nafasi kwenye teuzi mbali mbali kama ukuu wa wilaya, mkoa, ukurugenzi, ubalozi n.k
watakao shindwa udiwani nao wanafursa kama za hapo juu.
KILA LA HERI KWENYE MAANDALIZI YENU YA 2015.
XAVERY LANGA KAPECHA NJOVU
0783 662681
" Smooth seas don't make skilful sailors. "
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAAPXYOJLm1cZat2rg%2BTwyt39w-WtDCq8ayTUE4MvUCDd%3DT58qA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments