Habri wandugu wote wenye uelewa wa hili jambo.
-- Kuna jamaa yangu ni mama mjane mume wake amefariki, kabla ya kufariki huyo baba aliandika wosia kuhusu mai zake na kumwachia mkewe. Huyo baba alishawahi kuwa na famili kabla ya kumuoa huyo mama na alikuwa na mali miko mbalimbali. katika wosia wake aliandika mali za DSM ipewe familia ya DSM na mali za mikoani ipewe famili iliyo nje ya dsm.
Alivyofariki wale walio nje ya DSM wakaanza kumsumbua huyo mama lakini baadae ni kama wamtulia hivi.
sasa swali huoy mama wa DSM anauliza je yeye anaweza andika wosia kwa zile mali alizoachiwa na mume kwa mtoto wake? kama ikitokea siku na yeye hayupo huyo mtoto asipate usumbufu tena.
Naomba ushauri wenu wandugu, naamini maelezo yanaweza kuwa yamejitoshereleza
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACChgVQTkH1dAV07rdC4zNr41KgJm69Y%2BbFR_ogbK-8aAnmQeg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments