[Mabadiliko] Kafulila aibiwa simu yake ya mkononi

Monday, December 08, 2014
mbunge wa jimbo la kigoma kusini David Kafulila ameibiwa simu ya mkononi na mtu ambaye anaaminika kuwa mmoja wa wasaidizi wake katika shughuli za kisiasa jimbo kwake.

Kafulila alikumbwa na dhahama hiyo katika mji wa Nguruka Desemba 6 mwaka alipokuwa kwenye mfululizo wa mikutano ya hadhara kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kwa sasa polisi inamshikilia mtu mmoja ambaye anaaminika alihusika na wizi huo ingawa kwa taarifa zilizopatikana mtu huyo amekana kuhusika na wizi huo.

Kafulila anahaha kuibroke line yake isiweze kutumika vibaya na wapinzani wake akihofia pia kuvujishwa kwa mambo yake mengi ambayo ameyahifadhi kwenye simu hiyo inayoelezwa kuwa na thamani ya shilingi 750,000

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEaY2gQUsN3wzs0VR_EChYZXbbronU%2BboKDBzy5racQ8SPyq1Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments