[Mabadiliko] BUCHOSA: Karatasi za Kupigia Kura Hakuna: Upigaji kura haujaanza vituo vyote.

Sunday, December 14, 2014

Nipo jimboni kwetu Buchosa. Ni saa 3 asubuhi. Vituo vyote vya kupiga kura vimefunguliwa, lakini hakuna karatasi za kupigia kura. Kuna taatifa kuwa vituo vyote jimboni havijaanza kupiga kura. Watu wapo vituoni wanasubiri. Hasira zinazidi kupanda. Huku Chadema wamejipanga sawaswa. CCM wamezidiwa sana. Kuna kila dalili za kushindwa vibaya. Watu wanashangaa hii haijawahi kutokea. Gari la halmashauri lilileta masanduku bila karatasi. Haieleweki kama ni maksudi au ni mkakati wa CCM kuvuruga uchaguzi. Nafuatilia. Nitawajulisha. Mike, kijijini Buchosa, Sengerema, Mwanza.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxR%2ByQB8oNpN%3DNcJ2kVOwOLKHHgUW76wA-W0ZrhCoTiatw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments