[wanabidii] WAMASAI WANAPAMBANA NA JAMII NYINGINE WILAYANI KITETO

Thursday, November 13, 2014
Hali ni mbaya sana muda huu katika kata ya Oliboloti baada ya mapigano makala sana kuanza muda mfupi uliopita baina ya Wamasai na jamii nyingine , na taarifa nilizopewa na diwani wa kata hiyo wa CUF ni kuwa mpaka sasa wameshakufikia watu wanne na majeruhi kibao kwani wananchi wa jamii nyingine wameamua kuchukua gobore zao na mapigano yanaendelea .

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments