[wanabidii] NETANYAHU ALITUTUKANA AU AMESEMA TULIVYO?

Wednesday, November 26, 2014

--------------------------------------------
Najua kuna mambo mengi yanaendelea ndani na nje ya Taifa letu.
Moja kubwa ni hili la ESCROW. Lakinipia tunasikia yanayoendelea nchi za Mashariki ya Kati jinsi ISIS inavyofanya.
Nilipokutana na maneno haya yanayosemekana yalitamkwa na Waziri Mkuu wa Israel nikaona niyalete humu tuyasome kama ametiutukana kumseme, na kama amesema kweli tujiambie la kufanya.
Nilitamani kuunganisha na video moja ya ajabu lakini ngoja nisifanye hivyo kwa sasa.

Elisa Muhingo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments