HALIMA MDEE AHUSISHWA KUMPA SUMU MKONO
MBUNGE wa Kawe, Halima Mdee anatuhumiwa kuhusika kwenye tukio la kumpa sumu Mbunge wa Musoma Vijijini (CCM), Nimrod Mkono ambaye hivi karibuni alinusurika kifo akiwa London, Uingereza.
Chanzo kutoka kwa mmoja wa watu waliokuwa kwenye msafara wa wajumbe 11 wa Kamati ya Bunge ya Katiba, Sheria na Utawala, kinasema muda mwingi Mdee alionekana na Mkono wakijadili masuala mbalimbali yakiwemo ya ESCROW.
Chanzo hicho kinadai, anahisi Mdee amefanya kitendo hicho kwa maelekezo aidha ya chama chake (Chadema) au vinara wanaoshikila bango suala la ESCROW ili kuongeza utata wa suala hilo na kuipaka matope zaidi serikali ionekane inataka kuua watu muhimu kwenye sakata hilo ili kujinusuru.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments