Re: [wanabidii] URAIS 2015 - Bernard Kamilius Membe

Tuesday, November 11, 2014

Kusema kweli pamoja name mazuri aliyofanya made Warioba nafikiri inapendeza anapokuwa pembeni kuliko kukalia kiti.

Jamani alishatoa huduma vya Kutosha mwacheni sasa apumzike anyooshe kidole pale anaona ndio sio

On Nov 10, 2014 11:25 AM, "'ngupula' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Fredy,nataka nifike mbeya,vipi,naweza kukuona?0762835412

'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Ngupula,
umefanya vema kueleza msimamo wako kuwaupo nyuma ya lowasa lakini usiwaone wanaopendezwa na wengine kama wajinga. mimi nimsema wazi kuwa napendezwa na Warioba kuna wengune wanapendezwa na Membe, makamba, mwigulu, kigwangala, mwandosya, pinda, nk ndani ya ccm. wapo wanaomtaka zitto, slaa, machali, lipumba nk nje ya ccm. Hawa wote ni watanzania tuwasikilize tuwapime mawazo yao na kisha tuamue tusiwalazimisha watu waamini kile tunachoamini sisi. ni nani aliyetup haki ys kuwasemea wengine? au tunawaona wanaoamini tofauti na sisi hawana haki?


From: 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, October 31, 2014 9:54 AM
Subject: Re: [wanabidii] URAIS 2015 - Bernard Kamilius Membe

Tuambie mtu huyo aggressive anayetufaa tupate muda wa kumpima pamoja na wenzake, watu waandike juu yake kama alivyofanya huyu aliyetuletea habari za Membe. Tunataka tuwafahamu vizuri hawa wanaotaka kugombea urais 2015, mzee Makamba kaweka wazi kuwa mwanaye anaweza kwa kuwa anaweza kutumia ipad si kama hao waliozaliwa enzi za ujima. Kama hiyo nayo ni sifa basi tutampima kwenye mizani na wenzake. Tutajie jina la hao unaoona wanaweza ili tuwaweke kwenye mizani na wenzao. Yawezekana kwa maoni yako Membe hafai kwa kuwa ni legelege kama unavyodai, ingawa hujatueleza ulegelege wake ulipo. Tunawafahamu wengi wanaotaka urais kama Membe walishakuwa na madaraka wakayatumia vibaya, wengine waliuza hadi viwanja vya mnazimmoja kwa wahindi hadi wananchi wakaingilia kati kugawana mabati ya uzio ulioanza kujengwa lakini leo wanadhani tumesahau. Ni vizuri tuwaweke wazi tuwajadili kwa pamoja bila upendeleo kwa kuwa ushabikihaulisaidii taifa.


On Wednesday, October 29, 2014 1:45 PM, 'ngupula' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Sitaki kusumbuka kutafutiza sifa za mtu kana kwamba nimeelekezwa na mganga wakati wenye sifa wapo kibao tu. Mi membe namjua,anaweza akawa rais lkn mjue kuwa ata underperform sana,therefore,hatufai katika phase ya 2015 tunayohitaji a really aggressive person. Kuna kitu fulani Membe anacho,ni mtu vuguvugu na asiyeelezeka kirahisi....ana upole fulani kwa kizubavuzubavu....binafsi hata navyoelekezwa na maandiko,vuguvugu huwa hawafai kwa Mungu na Shetani pia. Zaidi ya yote,Membe sikumpenda pale alipozunguka nchi nzima halafu kwa unafiki akawa anawatapeli viongozi wa dini kuhusu Oic na Mahakama ya kadhi...tulimtimua bhana na tukamuonya Jk kamwe asiwatume watu kama hawa kuongea na watu wenye akili....halafu leo msanii huyu ndio awe rais wangu. Na ndio maana naongea sasa ili lizone,na weng

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments