Fred,
Nani ametoka mkoa gani ni mawazo yaliyopitwa na wakati, watu wanajali umkani wa mtu na hekima yake basi , tafadhali mchango wa mawazo yako angalau ulenge vitu hivyo, laa sivyo wote mtapikwa kwenye chungu kile kile.
On Sunday, 9 November 2014, 16:31, "'allanlawa@yahoo.co.uk' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
Katabazi is an embarasment to journalism profession and to BU |
From: 'Fred Hans Kipamila' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: wanabidii@googlegroups.com <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA APECHE ALOLO
Sent: Sun, Nov 9, 2014 2:42:13 PM
Je, huyu si yule aliyemfunda mwanamke mwingine kuwa kazi ya mwanamke ni kutafuta utundu wa kumuonyesha mwanaume kitandani? Huyu hawezi kuwa na mawazo mazuri hata kidogo ya kuwaambia wanaume kwa vile akili yake inamtuma zaidi kwenye kufikiri jinsi ya kufanya utundu kitandani kwa manufaa ya mwanaume wake. Ukisoma jina lakwe kama anatoka mkoa wa ziwa magharibiwanakotoka wasomi hapa kwetu. Lakini napata shida kuamini kuwa huyu ni ziwa magharibi labda ni jina tu limeelekea huko. From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com> Sent: Thursday, November 6, 2014 6:39 PM Subject: Re: [wanabidii] JAJI WARIOBA APECHE ALOLO Hivi ninyi bado mnapoteza muda wenu kumsoma Katabazi? Huyu anajikweza anadhani ataongezewa cheo. Apache alolo mwenyewe. em 2014-11-06 7:30 GMT-05:00 Jovias Mwesiga <ngonzy@gmail.com>:
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines. --- You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group. To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com. For more options, visit https://groups.google.com/d/optout. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments