Re: [Mabadiliko] WANANCHI WANA ELIMU YA KUTOSHA JUU YA WAGOMBEA BINAFSI?

Monday, November 10, 2014
Dad,
Hili swali hata mimi hujiuliza.
Wagombea binafsi inabidi wapate mafunzo on leadership, campaign strategy na persuasion.
Tukumbuke mgombea binafsi atakuwa anasimama kwenye Jukwaa kuielezea Dira na sera yake. 
Anatakiwa awe convincing.
Kwa upande wetu wananchi, tunahitaji elimu kwa Jamii juu ya wagombea binafsi.
Kuanzia uhuru hadi sasa, tumezoea kuona wagombea wakisimama kwenye majukwaa kunadi Dira na sera ya chama chao.
Wanakua na egemeo, yaani chama.
Wakianza kusimama wagombea binafsi, tutakuwa confused.
Hii elimu kwa Jamii ni muhimu sana.

Leila Sheikh

On 10 Nov 2014, at 6:15, Joseph Ludovick <josephludovick@gmail.com> wrote:

vyama vyote vya siasa ikiwemo chadema haviko tayari kwa swala hilo.

On Nov 10, 2014 4:29 AM, "Aliweiwei Machibya" <aliweiweimachibya@gmail.com> wrote:
Samahani  Mwanangu Leila. mdogo wangu  Augustine, Shgela,ikwalala na Mbuge Dk peter D. kafumu na wanajukwa kwa ujumla. 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,Je nafasi ya wagombea binafsi, wapiga kura  wanaelimu ya kutosha ? kwa mtazamo wangu kama elimu ya uraia hajatolewa vya kutosha juu ya suala hili, wagombea binafsi wataonekana kama vinyago kwa wananchi , pili katiba inasema nini juu yao kuhusu ruzuku na katika maandalizi yao ya kujinadi Je watagharimiwa na nani nawasilisha wanajukwaa. 
Aliweiwei Machibya

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEWjnYXbFkkz-D_SFWb9MorJbYK%3DowvZz%2Bwug4cwyooLPDnoJw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qip3iAzE76CPF-8ZRNTcK9Oq8jD5wV%2B8P1Ck27EcrWU_A%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments