Re: [Mabadiliko] WANANCHI WANA ELIMU YA KUTOSHA JUU YA WAGOMBEA BINAFSI?

Tuesday, November 11, 2014

SA kweli? High MTU kiti gani kinakupeleka kwenye chama Fulani? Na kama unavyovihitaji chama hakina au kama chama kina zengwe na wewe wananchi wanaamini Unawafaa inakuwaje?

On Nov 10, 2014 5:20 AM, "Shigela Aloyce" <comrshigela@gmail.com> wrote:

Nafikiri kilichowasukuma wanasiasa kudai mgombea binafsi pia ni kuhakikisha kuwa mbunge au kiongozi mwingine yeyote wa kuchuguliwa kupitia chama chochote husika anapofutiwa uanachama wake apate haki ya kubaki na ubunge au uongozi mwingine wa kuchaguliwa wa umma. Sasa sijui katika mapendekezo hayo hilo nalo litakuwa limezingatiwa.

Lakini pia suala la elimu kwa umma kuhusiana na mgombea binafsi, mimi sioni kama linahitaji kipaumbele sana kwa sababu, kwa asili yake, ubinafsi ni jambo lisilohitaji kuwa promoted bali ni self promoting process, kilichotakiwa ni kuwapa tu watu haki hiyo ili kupunguza uvyama kutawala mifumo yetu ya uongozi na utawala na pia kutowalazimisha watu kujiunga na vyama ili kupata nafasi za uongozi.

Hiyo ni tafakari yangu tu.

SA.

On Nov 10, 2014 11:33 AM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Siyo demokrasia ya kweli hiyo kumbe.

Raia wanafaa wawe na haki ya kugombea kuvyovyote wapendavo.

Courage

On Mon, Nov 10, 2014 at 3:31 AM, Abdul Dello <abduldello@gmail.com> wrote:
Inataka awe na affiliation na chama cha siasa. WTF

On Monday, November 10, 2014, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Kwani hii katiba mpya ilopendekezwa haikubali mgombea binafsi? 

Courage

On Mon, Nov 10, 2014 at 2:50 AM, Abdul Dello <abduldello@gmail.com> wrote:
Mgombea binafsi yupi sasa? Huyu anayetajww na katiba ya CCM kwamba awe na affiliation na chama cha siasa? Kweli?

On Monday, November 10, 2014, Mike Ikwalala <ikwalala@gmail.com> wrote:

Ludo, ingetosha tu kusema ....'vyama vyote vya siasa... haviko tayari kwa suala hilo' Chadema ina umuhimu gani ktk sentensi yako hapo?

On Nov 10, 2014 6:15 AM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:

vyama vyote vya siasa ikiwemo chadema haviko tayari kwa swala hilo.

On Nov 10, 2014 4:29 AM, "Aliweiwei Machibya" <aliweiweimachibya@gmail.com> wrote:
Samahani  Mwanangu Leila. mdogo wangu  Augustine, Shgela,ikwalala na Mbuge Dk peter D. kafumu na wanajukwa kwa ujumla. 
Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mwaka 2015,Je nafasi ya wagombea binafsi, wapiga kura  wanaelimu ya kutosha ? kwa mtazamo wangu kama elimu ya uraia hajatolewa vya kutosha juu ya suala hili, wagombea binafsi wataonekana kama vinyago kwa wananchi , pili katiba inasema nini juu yao kuhusu ruzuku na katika maandalizi yao ya kujinadi Je watagharimiwa na nani nawasilisha wanajukwaa. 
Aliweiwei Machibya

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAEWjnYXbFkkz-D_SFWb9MorJbYK%3DowvZz%2Bwug4cwyooLPDnoJw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qip3iAzE76CPF-8ZRNTcK9Oq8jD5wV%2B8P1Ck27EcrWU_A%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxSXnSki4%3DQcbsxycFxNxrA9zYi3AGs2Yg_nK5c5%3D5VcOQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAGFQo2Sj3uxN_cOF_b09o1KRhJuSh_57ASrAjM2CnoKHKdykrg%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr8rV%2BkJgBP17D3NYRr4RR1fNgOTLrEXoRuUPtzX3Wi-Rw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAGFQo2TvanifWfyg4R1%2BhDTUY2VC1sAL7WSb9f1Ax1ZeTDs-jA%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr_X5NFFwuEVE%2BPLf9YPz4YJ3JnSueMDbsQeYh%3DhV%2BECVA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWwRW22ueOZOaRDz32PdqQKmnrbXaU5rXzVSr%2BEsi1zPBQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAO0QJYy5ZS9LX%3DFjXU5uZQvODYcnGmbG6mg2STkScoL40VTZbg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments