Re: [Mabadiliko] Uchambuzi wa habari: Wahisani kuzuia misaada kunawaumiza wanyonge..

Tuesday, November 11, 2014

Zabron Joseph Sinde Warioba? Au ni majina tu kufanana?

Sorry for any inconvinience caused!

SA.

On Nov 10, 2014 8:30 PM, "Zablon Joseph" <jkiboga@gmail.com> wrote:

Leillah usimchanganye Kipi na Gotta, Kipi hajawahi kuwa na dread (rasta)..!

On Nov 10, 2014 10:02 AM, "Shigela Aloyce" <comrshigela@gmail.com> wrote:

Jesse,

Uliyoyasema nimeshayasema pia hapa, hii tabia ya Mjengwa kujitoa akili sio bure; huyu jamaa anataka kufuata nyayo za akina Juma Nkamia, ni wabunge sasa kwa kubebwa na watawala!

Ila nimuonye tu Majid kuwa, hao wameshapata thawabu yao, yeye afanyapo asifanye kama wao maana yawezekana mwisho wa ujinga huo umeshafika. Mtanzania wa leo sio wa jana!

SA.

On Nov 10, 2014 9:25 AM, "Jesse Rutahigwa" <jesse.media2solution@gmail.com> wrote:

Nashindwa kujua gwiji huyu wa mambo ya habari amekumbwa na matatizo gani? Mfano mdogo tu ni haya maandishi yake "watoto wa wanyonge wa Tanzania kule Bigwa milimani, mkoani Morogoro, wakiwa wameamka alfajiri kuwahi shuleni, pengine bila kupata kikombe cha chai nyumbani, basi, unajiwa na fikra, kuwa ni kwanini makosa yenye kutendwa na wachache katika nchi ipelekee wahisani kufanya maamuzi yenye kuwaumiza wengi wasio na hatia, na hata kuharibu mustakabali wao kimaisha, kwa kuwakosesha huduma bora za afya na elimu bora."

Cha kujiuliza hao watoto wamekosa chai baada ya wahisani kusitisha ufadhili? Huduma bora za afya walikuwa wanazipata wakati wafadhili wanatoa hiyo misaada? Elimu bora lini watoto wa wanyonge wamepewa?

Ni bora wasitishe kwanza ufadhili huo tuone sisi wanyonge tutapungukiwa na nini? Kwasababu hakuna tunachopata kutoka kwenye serikali hii goigoi.

Majid anataka kutuaminisha kitu gani? Au lengo la andiko lake ni  nini hasa? Watu kama hawa ndiyo wanasababisha wengine vichwa vituume.

On Sun, Nov 9, 2014 at 8:57 PM, Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com> wrote:
Good analogy.
em

Sent from my iPhone

On Nov 9, 2014, at 10:27 AM, Jimmy Luhende <jimmy.luhende@gmail.com> wrote:

Ukimsaidia ombaomba/matonya kwa kjumpatia sehemu ya jasho lako ili aimudu siku yake na jioni ukamkuta kaunta anatoa round utafanyaje next time akija kukuomba tena?

On 09 Nov 2014 5:41 PM, "Shigela Aloyce" <comrshigela@gmail.com> wrote:

Prof. Kitila,

Na huo urais ndio uliokuharibieni reputation zenu, sijui kama utatoka nao salama kwa hizo makala zako! Let us see, may be it is a professorial eye, tehe tehe teheeeee!!!

SA.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWz0L4xyzGG%3Des0KKWJQ_d2SNFO1sUz0tm-UwpkVXyNxwQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMcDKfLhmuEwyX2oTU69uCvKCowQ%3Dj6ib8qLFPeeXN9eUSXTrg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/FCA74156-A9A0-45D6-982D-69C517D5D471%40gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--

MEDIA CONSULTANT;  MEDIA2SOLUTION
P. O. Box 611, Arusha. Tanzania East Africa
Tel: - 0716 079 339 or 0715 930 930; E-mail:- media2solution@gmal.com

"If you are neutral in situation of injustice you have sided with an oppressor".Desmund Tutu.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACFNisi67%3DGvEf5%2BzKRedD6Rx%3DBrNNym3mMe%2B-YhpokkY%2BOGZA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWz1-hWdNLr%3DBb3%2BP_yUn2SB76QKto5FjmALWiFGaPAvQQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAORHqXG32iOEUiWHzawRnu_4PtLycqsqMnU85OSwCO-n7FOKUA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWxgGBUjST9G2_SBsVVppVscr-JbqJAVeLFXhDiqNRX98g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments