Re: [Mabadiliko] TETESI:KIPI WARIOBA AMEBADILI NIA

Monday, November 10, 2014

Mwesiga,
Naomba msikatishwe tamaa na Ludo kama alivyokatishwa Mabala. Hiyo ndo kazi rasmi ya Ludo na wenzake ambao baadhi bado wamefungiwa. Wanalipwa kuleta confusion hapa jukwaani ili tusijadili hoja serious bali rumors, speculations, gossip na pure stupidity. Ukitaka kujua fuatilia posts au michango yake hapa jukwaaani. Utaelewa ninachosema. Halafu fuatilia anavyochanganya watu na kujikuta tunapoteza muda mwingi kumjadili au kujibu upuuzi na kuacha hoja. Kama vile shetani tu anavyo operate...kutoa watu kwenye focus ya Mungu ili wahangaike na trivials.

Bila sis kujadili au kujibu upuuzi wake hutamwona hapa. atabaki kuruka ruka na kutafuta vistori vya kutunga ili tu baadae mjadili ujinga. Ni mtaalam ktk hilo

Hapana tusimkimbie. Dawa ni kuishi naye kama tunavyoishi na viumbe wengine ambao si lazima sana tuwape nafasi kwenye akili zetu.Unaweza kufuga mbwa na paka na kuishi nao nyumbani lkn sidhani kama unaweza kufuata ushauri wao...

On Nov 9, 2014 8:40 PM, "Jovias Mwesiga" <ngonzy@gmail.com> wrote:

Sasa Ludo kaa na tetesi zako binti warioba anaitwa kipi?!
Real!? Mzee mabala haki kukaa pembeni kama tunajsdili upuuzi kiasi hiki

On Nov 9, 2014 5:14 AM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:

Wakuu,
Kuna tetesi zenye uzito kuwa Kipi binti yake na mzee warioba aliyekuwa akitarajiwa kugombea ubunge jimbo la kawe kupitia CCM ili ampokonye Mdee amebadili nia kwa kuhofia kuwa kutokana na tofauti zinazoonekana kati ya mzee na chama chao zitasababisha jina lake lisipitishwe. kinyume chake anataka kujiunga na NCCR kisha atumie nguvu na ushawishi wa sasa wa baba yake kwa vyama vya ukawa ashawishi UKAWA wamsimamishe.
  kuhusu issue ya Mdee kuwa na nguvu huko, inasemwa itajengwa hoja kuwa si kweli. kuwa uungwaji mkono wa mdee umeshashuka na kuwa CCM wanaweza kuwa na njama kuu kumtoa mdee kwa namna yoyote ile tofauti na kama akiwa kipi. vilevile kuwa kipi atakuwa pia na wanaccm wanaomuunga mkono hivyo kuongeza faida ya ushindi.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qig4jwnHVbm%2Bt1ydnqi1xkwZnOhM5D1NWxTVQu%3DbzaS_Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAO0QJYzZ5u3S6f7BWE4pHTr33iofoknYx8CGmHO-QNBpMp0qUQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxSMxiuHDtsKEkCCYWRxpaTS_x0tw_bfGf-GHh0_BXWoLA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments