Meena,
Sielewi unachotaka kusema. Waandishi wote wa ndani na nje ya nchi wamechangia sisi kupata habari hii. Hii niliyoitoa hapa, waandaji wametoa na vyanzo vya habari, ripoti mbalimbali na pia yale walokuja wenyewe Tanzania kuyafuatilia. Sasa unataka kuhoji ukweli wa habari, umuhimu wake au chanzo? Sikuelewi, fafanua tafadhali.
2014-11-07 0:03 GMT-05:00 Neville Meena <nevilletz@gmail.com>:
Nyoni,Hii story (popote ilipoandikwa) ni matokeo ya ripoti iitwayo Vanishing Point: Criminality, Corruption and Devasttation of Tanzania's Elephant. Hakuna chombo chohote cha habari kilichofanya uchunguzi bali vyombo vyote vya habari hao New York Times, BBC, Al-Hazeera et al. Wamerun story based on that report ambayo imetolewa Novemba 4 na taasisi iitwayo Environmental Investigation Agency (EIA). Kwahiyo sifa ya uchunguzi si ya chombo chochote cha habari bali ni ya EIA. Ukisoma ripoti hiyo yenye page 36, utagundua kwamba wametumia taarifa nyingi zilizopo kujenga hoja na kusapoti uchunguzi wao. Ripoti yenyewe hii hapa nimeatach in PDF format, msio wavivu someni.--On Fri, Nov 7, 2014 at 2:34 AM, Nyoni Magoha <john.magoha@gmail.com> wrote:To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADaCgq%3D2kTv6LEp-sjQ0Lh0TbEV36rduC8P0KmfNxZor-NbF-w%40mail.gmail.com.Pamoja na kutumia taarifa zilizokuwepo nchini, waandishi wa nje walikuja kufanya uchunguzi na siyo kunakili kila kitu kama mjuzi mmoja anavyotaka kutuaminisha. Au atuambie hizi clips (attached) walinakili kutoka kwa gazeti gani la Tanzania?--On Thu, Nov 6, 2014 at 3:10 PM, Godfrey Kundi <gjkundi@gmail.com> wrote:Labda anangoja Butiku ang'olewe mrno na kucha.
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJJMsUviHbwHogXrUTxR71670j08%3D7i1FNRQoOh7k9q07srZWA%40mail.gmail.com.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
--Neville C. Meena,Secretary - Tanzania Editors Forum - TEF,Dar es Salaam - Tanzania.Cell: +255 - 787 - 675555
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADN1T2K44GN38QndiJSefX4WWdP0sSQ6TsKqaiLTS4KHHf%3Dfng%40mail.gmail.com.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADaCgqn8rKzwsSdScAUJpVD1qjtjg9dNszgNSU42qMd7o6qzSw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments