Re: [Mabadiliko] The African Problem: Man-Made or Inherent?

Sunday, November 09, 2014

Dello
unaleta mada vizuri. kuwa tatizo letu siyo watu wa nje wala historia.ni sisi wenyewe. baada ya hapa nataka uwe vilevile nitakapoanzisha swali tatizo la chadema ni nini hasa? sitarajii uwe na makengeza na kuanza kulaumu ccm kwa kila kitu

On Nov 9, 2014 9:25 AM, "'Leila Sheikh' via Mabadiliko Forum" <mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
Chinese Menace!

Leila Sheikh

On 9 Nov 2014, at 8:06, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

Mdogo wangu Denis Matanda,

Kosa letu kubwa Africa ni ubinafsi.

Bila ubinafsi wa viongozi wetu, Africa tungekuwa tumefika mbali kwa hivi sasa.

Lemme give you an example:

A few years ago we discovered Titanium in Kwale in the South Coast of Kenya.

Titanium is a miracle metal.

It's tougher than Steel 304 or 316 so it can be used to make vehicles, Airplanes and ships, etc.

It's lighter than Aluminium so it's perfect for Airplanes, vehicles, ships, etc.

It's a better conductor of electricity than copper so it can improve the efficiency of electricity transmission.

It does not rust so it can be used in cell phones and electronic circuits.

Etc.

There's enough Titanium to last 15 yrs of daily industrial mining, worth over $50 billion !!!

Mining and processing this Titanium in Kenya can create tens of thousands of jobs, and establish a manufacturing industry. 

But what did our politicians do?

They accepted some bribe from the Chinese and agreed to allow the Chinese to just dig up the raw ore and transport it to China for processing.

They're transporting the raw ore together with the associated soil and rocks, to China, for processing.

Now tuseme hawa viongozi wetu hawangekuwa wabinafsi, and not taken the bribes, that raw ore would have been processed in Kenya and we would have even made circuitry wires and cellphone and electronic circuitry in Kenya.

That would have been tens of thousands of jobs and another hundreds  of thousands of subsidiary service jobs in Kwale. 

This is the same story that repeats itself in every African country everyday !!!

Courage

2014-11-08 23:34 GMT-05:00 denis Matanda <denis.matanda@gmail.com>:

Shigela,

Tusijilaumu bure. Hatujitendei haki! Vigezo vyote vinaonyesha kuwa kiakili lazima tutakuwa tunatofautiana na wengine. Hiyo ndiyo the only plausible explanation!

Ni ukweli mchungu lakini nadhani ifike mahali tujikubali........

On Nov 8, 2014 8:55 PM, "Shigela Aloyce" <comrshigela@gmail.com> wrote:

Nafikiri bado tunapita kwenye kipindi cha ujinga na upumbavu; tukikimaliza tutaendelea tu!

Tanzania ndo iko sasa kwenye climax ya kipindi hicho, yaani mpaka marehemu anapiga kura kuipitisha katiba mpya, na watu wazima, wenye akili zao, na madaraka yao ya kutosha, bila ya kusurutishwa na mtu, mbele ya kadamnasi kwenye uwanja wa michezo pale Dodoma, huku kamera za tv zinarekodi; wanathubutu kweli kupokea dubuwasha hilo linaloitwa Katiba Inayopendekezwa?

Hii ni aibu kwetu kuanza kumtafuta mchawi huku tunamuona. Tukiacha huu ujinga na upumbavu wetu, bara hili ndipo litakapoanza kupiga hatua za maendeleo kwa kasi kubwa kwa sababu tunazo rasilimali za kututosha kuendelea.

Kuna wakati nilipata bahati ya kusoma maoni yaliyonaswa kwenye mtandao wa kijamii wa kimataifa ambapo walikuwa wanazungumzia ziara za comrade Kikwete za kwenda kutega bakuri la umatonya huko ugaibuni. Kwenye mtandao huo, wazungu walikuwa wanapendekeza Kikwete awekewe no fly zone restriction ya kuingia Ulaya kwa sababu wanamshangaa kwa aibu anayowatia watanzania anapokuja ulaya kuomba kile kinachozalishwa kutoka nchini mwake! Wanasema Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo mtu anaweza kuingia na kuchuma kwa raha zake bila kuulizwa na yeyote, na sana sana mtu huyo anaweza pia kupewa ulinzi wa kutosha ili achume bila bughudha ili mradi anaweza kutoa kitu kidogo kwa watawala wa nchi.

Bado tunamtafutia wapi mchawi? Shame on us, na especially wale kila kukicha wanalamba miguu ya watawala wetu kwa sababu ya njaa zilizohamia vichwani mwao kama cerebral malaria!

SA.

On Nov 8, 2014 10:21 PM, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:

Africa is its problem. Prof.Rene Dumont in his "False has started in Africa" captures well our problems

On Nov 8, 2014 10:14 PM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Haya basi; what's the primary question in this debate?

Is it to discuss why Africa is still behind the rest of the world?

Courage

On Sat, Nov 8, 2014 at 2:06 PM, 'Leila Sheikh' via Mabadiliko Forum <mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
No mshangao.
Sasa tupate jibu juu ya African Problem

Leila Sheikh

On 8 Nov 2014, at 21:51, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

Mbona mshangao ??

On Sat, Nov 8, 2014 at 1:40 PM, 'Leila Sheikh' via Mabadiliko Forum <mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
Aaaaah!
Dr Thopy!

Leila Sheikh

On 8 Nov 2014, at 21:19, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

Field Marshall,

Umesahau kutaja kwamba tunaye Daktari Theopista pia. 

Courage

2014-11-08 12:09 GMT-05:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:

Kwanini sisi hatubadiliki kwa mazuri?

Hata Binadamu alikuwa anatenbea na kufanana na nyani, lakini leo tunao warembo akina Faith, Tubelight, Sitti Mtemvu, Lilian Kamazima n.k, mbona sisi hatupigi hatua kama Bara?

Si ajabu baada ya vizazi vichache vijavyo tutaanza kutembea kama nyani tena.

On 8 Nov 2014 19:58, "Joseph Ludovick" <josephludovick@gmail.com> wrote:

Maurice,
a very brilliant note. we have become African apologetics.

On Nov 8, 2014 7:54 PM, "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
Leila,

This is a very informative narration.

But now, how do we respond to a person who says that, yes, we might have had early civilization but that is the same as a kid who is very intelligent in Primary school but gradually gets worse and worse and ends up with FFFFFFF in everything at university?

But Europe and the West are the kids who were so-so in Primary school but improved over time and achieved a PhD level !!!!!

Courage

2014-11-08 5:55 GMT-05:00 'Leila Sheikh' via Mabadiliko Forum <mabadilikotanzania@googlegroups.com>:
Mikey
Tujipime kwa vigezo vyetu, siyo kwa vigezo vya Ulaya na marekani.
Wakati Hammurabi the law maker akitengenza codicils na bill of rights miaka maelfu ya nyuma huko Ufrates na Tigri, Ulaya walikuwa wanararuana na kutoleana silaha before you can say Mu.
Wakati Malkia Semiramis wa Nineveh alikuwa anajenga barabara na ngome, huku akihimiza watu wake watumie kilimo cha umwagiliaji, Ulaya walikuwa wanavaa ngozi.
Wakati civilization za Mwsopotamia zilikuwa zina maandishi ya cuneiform, Ulaya walikuwa illiterate.
Marekani palikuwa na civilization za Toltects, zikaja za Aztec, Meshica nk.
Wa Ulaya walipovamia marekani, hizo civilization ambazo zilishakuwa na maandishi makarne kabla zikafyekwa.
Hapa Africa, Mwanamutapa, Rhapta, Kilwa, Songhai, Axum ni civilizations preceding za Ulaya.
Wareno/Portuguese walipofika Kilwa merikebu zao zilipokutwa na dharka na ikabidi washushe nanga Kilwa, walikuta a highly evolved society with writing, governance, trade and beautiful architecture.
Walikirimiwa, waliporudi Portugal, wakaandaa jeshi, wakarudi na kuvamia Kilwa.
Sasa, tujadili ndani ya misingi ya historia hii.

Leila Sheikh

On 8 Nov 2014, at 13:30, Mike Ikwalala <ikwalala@gmail.com> wrote:

Katika pita pita zangu huko kwenye mavitabu na maintaneti nimekutana mjadala mkali kuhusu tatizo la Africa kuwa ndio alama ya kushindwa (the symbol of failure) duniani katika almost kila kitu. Suala hili limekuwa likisumbua vichwa vya watu wengi sana kwa miaka mingi "why africa remains the classic example of backwardness in almost everything?"

Cha kujadili hapa ni: je ni kweli kwamba sisi kila kitu hakiendi, alas kwa speed na quality inayotakiwa?

Chanzo cha tatizo la afrika hasa nini? mfano; ni asili ya kuzaliwa? mazingira? historia, systems? institutions, au external forces?

Tutatoka hapa? Tunaazia wapi?

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CADVpsxRk%2BLQ_Rj3JuvRVF7CFDrV4_sCjs6aoxPC%3DXZ91BEpoRA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/43EFC59C-1643-48BA-A7A9-0E61B99A6DD9%40yahoo.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr8y0fvxLLwi5kVCqWOfrJkY12kC372dKeAJpy4Axpf8xw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qhm-mPwwHTKsihTOA7%3Dcw%2BbpTVvGQv1Gz2rhhJg%3DiHHiA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJsbJR3d%3Dmpm7tX1JEMEhQO%3D-ZgTB9tmxKNmJhFM%3D5bHgUpnyg%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr9KgJyPhVNpZS0SJDUmBYnqbUACCz-a7PtMotXoT2g6nw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/B1978D11-CD83-49C0-A9D7-D329D79ED5F5%40yahoo.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr-V33FvWtLO5SmjJ_tf2MUe%2Bek2cWa-_%3DUsYBVfvc%2BuUQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CD5CB750-FE5D-4F37-88CB-34F608C6D0DD%40yahoo.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr8m55GXv%2B%3D5L_N90eMDLs05NiU%2Bcy0pUJkq_u7vumVnQQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QiYPXXHCq5D-XMUPGbuytFNH-nU_53sBD%3DP8zhKDp85TQ%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPPZ%3DWybEyJoxgsiDtYuFaogOPcNs8mQagr4-c%3DDgp71Q9f1kg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAPj42pFMb-AOXPVzVxA%3DHnqM_OXm%3D9f36K3p%3DfN2sHcshxvfsA%40mail.gmail.com.

For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAKWnvr-HjbFeP_zrhst%3DJr8B2i9CpGfyzrjciqRu%2BqHS%2BGetLw%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/4BD9C877-2593-45D2-A346-2CB4FC1386A0%40yahoo.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QiG6%3DsmraSVWuYiekYzxmCTO3fenxraxA78U4r1Qt8sjg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments