Baadhi yetu tulijua mapema kabisa kiwa kilichoitwa maandalizi ya tuzo kwa akina warioba ilikiwa jambo la mhemko tu.Mike Ikwalala ambaye kwa siku za karibuni amekuwa kama polisi wa jukwaa ndiye muandaaji.
hatukuwa na chuki binafsi na akina warioba bali tulijua kuwa hapa tumekuwa na tabia za ajabu za kuongea saaaaaaana bila kutenda. nilitabiri kuwa hakuna kitakachofanyika. nani wa kunipinga?
Obstat Principiis
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6Qg5Uw%2B4KROcuiT2F2QUMhf5d0JOd9aAZEuTJDN_2%3Dgr4Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments