[Mabadiliko] Mjadala wa Mgombea Binafisi ama Huru uliishia wapi?

Tuesday, November 18, 2014
Machibya / Jimmy

Nakumbuka mlianzisha mjadala kuhusu mgombea binafsi, uliishia wapi maana nimekumbuka kama nimewahi kuandika kuhusiana na suala hili baada ya tukio moja wilayani Monduli mwaka jana ambamo wazee wa Kimasai walidai kutaka mgombea binafsi kwa kiti cha urais kwa kuchoshwa na uhasama wa vyama.

Nafikiri makala iliwahi kutolewa na mwananchi...sikumbuki tarehe ila naibandika hapa...

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAA304o7Hu2xonZGZskE4zfv2KgiwnJfaii6CK9n1%2BRd2H6dv_A%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments