Hii ni ofisi ya chama chetu. tukisema kuwa chama kiangalie matumizi.sahihi.ya fedha kama kujenga ofisi siyo bila sababu. ukweli ni kuwa hata ofisi chache za mikoa zilizopo hazilipiwi na chama bali watu binafsi tu na nyingi ziko katika nyumba binafsi za waliozitoa kwa chama.
madhara yake ni kwamba inapotokea watu hao wakahama chama kama ilivyo kuwa kwa hawa wanaokwenda ACT basi huhama na ofisi zao. nitumie nafasi hii kumkumbusha dokta Rukoma kulipia ofisi za chadema Muleba. unatafutwa.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CACMr6QjS%3Dm5qUnbjhbo9Yi7KPp%3DFp3nD7r8pofp5Skiw%2BJAvmA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments