[Mabadiliko] je Pinda atalia tena Bungeni?

Wednesday, November 26, 2014
Eti jamani mimi natabili huyu mzee lazimwa amwage chozi tena baada ya tuhuma kibao za ESCROW, natamani ile ya "wapigwe tu" imgeukie yeye na wenzie, 

yaani kama alivyosema tupigwe, kesho polisi na mabomu yao ya machozi wamgeukie huyu bwana na watuhumiwa wote wawarushie mabomu na kuwapiga kama alivyowataka watufanyie sisi ili akalie vizuri kwenye ndoto zake za urais mwakani

--
J L Kamala

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAFYWDFTYRvL57H2r6Whgj_p8ZE9vAtazOo4uVBg89Obgq%2BReSA%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments