[Mabadiliko] Burkinafaso kuongozwa na Askofu kwa kipindi cha mpito?

Saturday, November 15, 2014

Nimesikia wananchi wa Burkinabe wanamtaka Askofu Mkuu kuongoza serikali ya mpito.

Amesema yete ni kiongozi wa kiroho, hawezi kuongoza serikali, wananchi wanasema wanataka mtu neutral, si mwanajeshi wana mwana siasa. 

Je, itakuwaje kwa Askofu huyu? Ataitikia wito wa wananchi au atapuuza?

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAJsbJR0Hyc9Ztq8a5m83WgoYyPDJkQ3tSTQ9WbcpBHuYGpbd6g%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments