Ninaangalia hapa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Watu wa Kenya, Uhuru Kenyatta anaporejea nchini humo baada ya kuhudhuria shauri lake kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) huko Uholanzi.
Karibu sana nyumbani kwako Uhuru Kenyatta.
Daily East African News Updates
0 Comments