RATIBA YA MAANDALIZI YA UCHAGUZI WASERIKALI ZA MITAA NDANI YA CHAMA
TAREHE | SHUGHULI |
19/10/2014 - 22/10/2014 | Mikutano ya Wanachama wote wa CCM Matawini kwa ajili ya kuelimishwa na kuhamasishwa kuhusu Uchaguzi. |
23/10/2014 – 25/10/2014 | Kuchukua na kurejesha Fomu za kuomba kugombea Uenyekiti wa Mtaa, Kijiji, Kitongoji na Ujumbewa Serikali za Vijiji na Mitaa kwa Makatibu wa Matawi ya CCM. |
26/10/2014 – 27/10/2014 | Kampeni ya wagombea ndani ya Chama. |
28/10/2014 – 29/10/2014 | Wanachama wa CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea Uenyekiti wa Kitongoji na Wajumbe wa Kamati ya Kitongoji kwenye Mashina yanayohusika. |
30/10/2014 – 31/10/2014 | Wanachama wa CCM kupiga kura za Maoni za Wagombea Uenyekiti wa Kijiji na Wajumbe wa Halmashauri ya Kijiji na vilevile kupiga kura za Maoni kwa Wagombea Uenyekiti wa Mitaa na Wajumbe wa Kamati ya Mtaa kwa Mijini. Kura zitapigwa na wanachama wote wa CCM kwenye Matawi ya Kijiji au Mtaa husika. |
01/11/2014 – 03/11/2014 | Kamati za Siasa za Matawi kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Kamati za Siasa za Kata |
04/11/2014 – 06/11/2014 | Kamati za Siasa za Kata kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Kata na kwa Kamati za Siasa za Wilaya. |
07/11/2014 – 09/11/2014 | Halmashauri Kuu za Kata kufanya uteuzi wa mwisho kwa wagombea Uenyekiti wa Vitongoji. |
10/11/2014 – 11/11/2014 | Kamati za Siasa za Wilaya kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Wilaya. |
12/11/2014 – 14/11/2014 | Halmashauri Kuu za Wilaya kufanya uteuzi wa mwisho wa Wagombea Uenyekiti wa Mtaa, Uenyekiti wa Vijiji, Wajumbe wa Kamati za Mitaa na Wajumbe wa Halmashauri za Vijiji. |
15/11/2014 – 21/11/2014 | Kuchukua Fomu na kurudisha kwa Msimamizi wa Uchaguzi. |
16/11/2014 – 21/11/2014 | Mafunzo ya wajibu wa Wagombea na Mawakala. |
24/11/2014 | Siku ya uteuzi wa Wagombea kwa Msimamizi. |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments