[wanabidii] URAIS 2015 - SIFA ZA RAIS TUNAYEMTAKA

Monday, September 08, 2014
1. Kiongozi awea muadilifu,
2. Kiongozi awe mzalendo (exemplary Patriotic) siyo raia pacha!
3. Kiongozi awe Mpambanaji na jasiri dhidi ya rushwa na ufisadi na mwelewa na msimamizi wa uchumi.
5. Kiongozi awe Mustawishaji wa uchumi sawia (economic equity and fair distribution of income and other economic benefits) 
6. Kiongozi awe Muelewa wa kujua umuhimu wa kujenga na kusambaza sawia huduma za miundombinu ya kiuchumi na kijamii.
7. Kiongozi mwenye kujua umuhimu wa watu kufanya kazi (asiye fanya kazi asile)
8. Kiongozi mwenye uwezo wa kuwatetea na kukomesha unyanyasaji wa wananchi ndani ya nchi yao (siyo piga tu)
9. Kiongozi mwenye uwezo wa kuelewa misingi ya uchumi wa taifa
10. kiongozi mwenye uwezo wa kufumua maovu na machafu yanayofanyika(siyo kumezea)
11. Kiongozi awe mnyenyekevu na mapenzi kwa taifa na wananchi
12.Kiongozi awe na uwezo kuongoza na kuona mbele 
13. Kiongozi awe na uwezo wa kutofautisha mambo ya nchi na binafsi.
14. Kiongozi awe na uwezo wa kutofautisha mambo ya biashara na mali za umma
15. Kiongozi awe na uwezo wa kutofautisha mambo ya ofisi na nyumbani 
16. Kiongozi awe mwenye uwezo wa kusimamia na kuwezesha wananchi katika uchumi.
17. Kiongozi sharti awe mkulima au mfanyakazi 
18. Kiongozi asishiriki katika jambo lo lote la kibepari au kikabaila. 
19. Kiongozi asiwe na hisa katika makampuni yoyote. 
20. Kiongozi asiwe mkurugenzi katika kampuni ya kikabaila au kibepari. 
21. kiongozi asiwe na mishahara miwili au zaidi 
22. Kiongozi asiwe na nyumba ya kupangisha.
23. Kiongozi asiwe na tuhuma zozote
24. Kiongozi asiongoze kwa matakwa ya mkewe
25. Kiongozi awe na msimamo, jasiri na siyo wa kugeuka geuka
26. Kiongozi asiwe na nyumba ndogo

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments