[wanabidii] PROFESA LUCAS SARONGA ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB)

Tuesday, September 02, 2014




Mkurugenzi wa Mtangamano wa Biashara toka Wizara ya Viwanda na Biashara, Profesa Lucas Saronga  na Ofisa Habari wa Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Happiness Katabazi,Leo Katika Makao makuu ya UB, Mikocheni kwa Warioba Dar Es Salaam.Profesa Saronga alitembelea ofisini hapo  na kufanya  mahojiano nami kuhusu masuala ya Biashara na uwekezaji.Makala ya mahojiano baina yangu na mtaalamu Huyo wa Biashara na uwekezaji Kimataifa ,itawajia wiki ijayo.By Happiness Katabazi.Agosti 2 Mwaka 2014.
Sent from my iPad

Share this :

Related Posts

0 Comments