[wanabidii] MBOWE NA HARAKATI ZA KUMZIBA MDOMO DEUS MALYA. DAMU YA WANGWE IMEZURU UFIPA.

Wednesday, September 03, 2014

Deus F Mallya 09:39 1st September 2014
Salaam!
Kwa muda Mrefu nimekuwa nikipata msukumo unaonitaka
kuzungumzia maneno yaliyosambaa mitandaoni na
kwenye vyombo vya habari hivi karibuni kutoka kwa
ndugu ma makundi mbali mbali.
Kimsingi sintajibu wanayotaka kwa sababu nimeendelea
kupokea jumbe za Matusi na kejeli hata kuvamiwa na
wanaodai ni wafuasi wa CHADEMA wakitaka niendelee
kuwa Kimya!. Wapo walioamua kujitaja majina yao ili
nijue ni kiasi gani wako 'Serious' kwenye kile
wasemacho!.
Japo nilishatoa taarifa Polisi, kwa sasa nimechoka kuishi
maisha ya kuwindwa ndani ya Nchi yangu. Nimechoka.
Nitakachofanya ni KUONGEA na si KUJIBU kilichosemwa
na yeyote kuhusu Mimi na 'Ajali ya Pandambili'
Naamini kwa Mungu siku zote
Naamini nikifa ni kwa Mpango wake
Nikifa ukweli Utaishi hadi vizazi vijavyo.
Deus Mallya
Dar es Salaam.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments