Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges watatu leo hii Tarehe 22 September 2014 imetupilia mbali pingamizi la Serikali dhidi ya Shauri lililofunguliwa nami kwa niaba ya Saed Kubenea kuomba tafsiri ya kifungu cha 25 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, na pia tamko kuhusu mamlaka ya Bunge la Katiba vs Rasimu ya Tume ya Warioba.
Shauri la Msingi litasikikizwa kesho Tarehe 23 September 2014,saa 4 Asubuhi.
Tunaomba Sala za kila mpenda Katiba Bora ya Wananchi.
Tunaiamini Mahakamu Kuu ya Tanzania.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments