[wanabidii] MABADILIKO CHADEMA UKO WAPI HDI USHINDWE KUTUJUZA KUHUSU KINACHOENDELEA KWENYE UCHAGUZI WA CHADEMA??

Sunday, September 14, 2014
Huyu mtu anayejiita MABADILIKO CHADEMA leo yuko wapi hadi ashindwe kutujuza kinachojili kwenye uchaguzi wa Chadema? Au yeye ni mtu wa kutoa habari za uzushi tu? Kama kweli angekuwa anashughulikia habari za Chadema tu kama ambavyo amezoea nafikiri kipindi hiki kingekuwa muhimu kwake kwa kufuatilia nyendo zote na kutujuza kinachoendelea kwa ufasaha. Kwa vyovyote vile kinachoendelea hakijakufurahisha ndiyo maana umeshindwa kutuwekea post zako za kipuuzi hapa

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments