[wanabidii] KUTESWA KINA FARID NA KUKOSESHWA HAKI PONDA

Friday, September 19, 2014

KUTESWA KINA FARID NA KUKOSESHWA HAKI PONDA
watuhumiwa hawana haki ya kupata mawakili na dhamana…
watuhumiwa wanateswa na kuondolewa utu wao mbele ya jamii..
watuhumiwa wanadhalilishwa
watuhuhumiwa wanakosa haki zao za katiba
hakimu ni bias kabisa, watuhumiwa wanamuonesha hali ya kuteswa nae anajua si haki kuwatesa watuhumiwa ..lakini amekua kama mtu anaesikiliza hadithi tu…

hakimu anajua kupata ushahidi kwa njia ya mateso mpaka mtu anakatwa mguu ni ushahidi wa kulazimisha haukubaliki….lakini anaridhia kuteswa watuhumiwa kwani amekataa kukemea
hakimu anajua anajua analo jukumu la kulinda sheria na kuwasikiliza kilio cha watuhumiwa kuwa wanaingizwa majiti mkund..ni na anao uwezo kukemea hili jambo lakini hakimu huyu ni mkristo bila shaka ana furahia kuteswa na kudhalilishwa waislam

hakimu anajua hawa ni watuhumiwa tu na wanaweza kutolewa kama hakuna ushahidi dhidi yao..lakini huyu hakimu mkristo hajali haki za msingi na kwa mujibu wa taratibu za penal code au hata hio sheria ya ugaidi aka uislam..

hatuungi mkono uhalifu unaotokea lakini tunapinga kila muislam wa harakati ndio wahusishwe au wale walokua mstari wa mbele kupinga muungano ndio wawe watuhumiwa wa ugaidi..hapa kuna shaka.
kupelekwa tu kina farid huko dar kuteswa inaonekana wazi hakuna kesi ni mpango wa mateso tu.jua kuwa kina farid walikua rumande karibu mwaka mmoja hapa Zanzibar….na kwa mujibu wa tarehe ya hayo mashtaka basi makosa wameyatenda wakati wako rumande !!! ni wazi ni kesi ya kupikwa wapangaji wamesahau hawa tarehe hizo bado wapo tumande…

lakini waislam tujiulize ..hapa kuna sheria kandamizi inayo ondoa kabisa utu wa mtuhumiwa hata kama ni kwa mashtaka ya kusingiziwa..once ukishtakiwa kwa sheria hii basi utu wako umeondoka….polisi wapo juu ya sheria ndio maana wanafanya wanavofanya sheria inawalinda…lakini tukumbuke dhalili hii wanafanyiwa waislam tu..
yupo yule Ambrose kule aArusha alikamatwa red handed kuhusika na bomu kanisani…jee nae ameingizwa jiti ili aseme walomtuma ? bila ya shaka hapana kwani waislam tu ndio wao ni sawa mnyama,
tuzingatie ni wazi kabisa sheria hii tumetungiwa sisi waislam kuteswa na kuonewa
haitatokea wakristo kudhalilisama hivi hata kama watafanya jinai ya aina gani
jee wasialam tumeridhia ?
jee waislam tumefikia kuwa magoi goi dhofu hali kama hivi ?
tukumbuke tumeusiwa tusidhulumu wengine lakini pia tumuusiwa tusikubali kudhulumiwa..
hali hii ya kuwa dhalili itaendelea mpaka lini? kila siku tunajidai tupo wingi hata sensa tulihamasishwa kugomea kwa msingi kuwa tupo wengi na mamlaka haitaki kutuhesabu…
jee kweli waislam hatuwezi kuweka msimamo nchi hii na kila mtu akatuheshimu ?
inawezekana inawezekana kabisa tena bila ya fujo wala vurugu..
jee hatuwezi kuishinikiza serikali kuifuta sheria hii au kuifanyia marekebisho?
jee hatuwezi kushindikiza serikali iwajibishe wale wote walohusuka na udhalilishaji wa watuhumiwa

ni wazi tukiamua kwa pamoja kwa solidarity ya hali ya juuu kabisa tunaweza kuonesha nguvu zetu kwa amani kabisa….hakika 3 million peaceful sitting march itarejesha heshima
nani wa kumfunga paka kengele ?
ni mimi na wewe…3 million wakihamasishwa inawezekana kabisa kurejesha …heshima yetu .
Ni sasa sio kesho..huko mbele watoto wetu watakuwa katika wakati mgumu sana kama hatukuchukua hatua

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments