KUHUSU WANAHABARI KUPIGWA MKWARA NA NGWARA.
Kapigiwa simu Mbowe aende makao makuu ya polisi, mara ghafla wanahabari wanajaa...nani aliwaita pale kwa muda mfupi kiasi hicho?
Je Mukya joyce, msigwa na wengine walifuata nini pale?
Me nadhani wanasheria wa chama wangetosha kumsindikiza na kumsimamia ili apewe haki katika mahojiano na sio umati wote ule...!!
Polisi walihamaki kwa papara sana na kujikuta wakishindwa kutumia busara kuwatambua wanahabari na kuwatimua wote.
Wanahabari mmejitahidi kucover habari ingawa mlipigwa mkwara na ngwara,
Tukio hilo la wanahabari kutembezewa kipigo ni furaha kwa wenye tukio maana wanajua tukio hili litapata kuandikwa sana bila wao kutumia nguvu kabisa.
Nchi yetu iko kwenye mwendo wa upitaji wa siasa za upepo na matukio, lakini muda wake utaisha punde.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments